Eti huyu naye ni mwanajeshi!
Luteni
Rose katila, mwanamke pekee anayeendesha ndege za kivita
Waziri wa ulinzi akiwa na baadhi ya maofisa wa jeshi la ulinzi. Nyuma yake ni Mkuu wa majeshi mstaafu, Robert Mboma.
Wananchi waliotembelea maonesho ya JWTZ wakiangalia ndege ye kivita.
dogo unajitahidi..sasa ili iwe nzuri weka picha afu maelezo, then picha nyingine halafu maelezo otherwise maandishi yanakaa sehemu moja [in ur case kulia] halafu picha pande ingine zinakuwa hazina mtiririko mzuri dogo.big up man kwa fani yako blogu ndo way forward mwanawane
ReplyDeleteVery interesting stuf. Best greatings from Germany. Sir can you please contact me for more informations about this event.
ReplyDeletepitweinert@arcor.de
Regards Peter Weinert