Monday, August 23, 2010

KAMPENI NDIYO HIZO ZIMEANZA

Kama ilivyo katijka machezo, wote husindana lakini atakayepata ni mmoja tu. Hao Ni CCM, CUF na Chadema. Nani atachukua urais.





Monday, August 16, 2010

Thursday, August 5, 2010

STELLA'S SEND OFF, ILIKUWA BOMBA KWELI KWELI











KEKI YA BIRTHDAY


Kama mmezoea kukata keki kubwa zenye ngazi, mjue hayo yamepitwa na wakati, hiyo ndiyo keki ya kisasa.
Msanifu mkuu wa gazeti la Mwananchi Angetile Osia akikata keki ya birthday yake, kushoto kwake ni mwandishi wa habari za burudani, Julieth Kulangwa.

HUYU NI BABA WA MTU JAMANI

Tangu alipopata mtoto na kutangaza nia ya kuoa nimekuwa nikimshauri apunguze utundu lakini hasikii, basi nawaachia nyie.

Tuesday, August 3, 2010

KURA YA MAONI ZANIBAR



Kura ya maoni kwaajili ya kuamua serikali ya mseto imepokelewa kwa mikono miwili na Wazanzibari hasa Wapemba.



KANISA LAZIDI KUSHAMIRI PEMBA

Baadhi ya washirika wa kanisa la TAG Chakechake Pemba wakiwa kwenye ibada hivi karibuni.
Kwa sasa kanisa hilo linakua kwa kasi kisiwani humo ambako idadi ya wakazi wake wengi ni waislamu.