Sunday, January 16, 2011

MOTO WA KATIBA


ProfesaIssa Shivji akitoa mada ya mabadiliko ya Katika katika kongamano lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Walikuwepo pia wachangiaji kama huyu Mkunga aliyewaacha watu hoi kwa moja zake.