Wednesday, December 26, 2012

CHRISTMAS AND BOXING DAY AT KIGAMBONI Safari ya kwenda Kigamboni ilipoanza
Wapare walipokwenda beach
Christmas na boxing day ilivyosherehekewa na 'B' Family katika beach ya Baracuda Kigamboni jijini Dar es Salaam. Hapo Abel akitoa mahubiri.
Kama kawaida, michezo ya kuvuta kamba kwa wanaume, wanawake na wanaume ilikuwepo
Waimbaji wa Messengers walikuwepo kupamba