Elias Msuya
The Frontier
Saturday, June 26, 2010
JAMAA KACHOKA KUISHI, AU ANATAKA KUVUNJA REKODI YA GUINESS?
Kijana mmoja ambaye hakujulikana mara moja akiwa juu ya nguzo ya umeme wenye nguvu kubwa maeneo ya Ubungo. Sijui amechoka maisha au anataka kuweka rekodi!
Wananchi wakimwangalia kijana huyo kwa makini.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment