Monday, January 4, 2010
NI YEYE!! GODLOVE NA MATILDA WALIVYOFUNIKA
Baada ya kila kitu ikawa ni furaha tu katika ukumbi wa Five Star wa Mbezi Dar es Salaam.
Ni yeye bwana, du!
Ndivyo anavyosema Godlove Lwendo baada ya kufunua shela ya bibi harusi, Matilda Nkanda wakati wakifunga ndoa katika kanisa la TAG Kigogo Dar es salaam, January 3, 2010. Ilifana sana
kwa pete hii, nakuchukua uwe mume/mke wangu wa ndoa
Tayari, wanatuchelewesha tu!
Pleasant Vocalists
Wazazi wa bwana harusi
Hapo vipi?
Vurugu tupu
Sijui nitaoa lini, anajiuliza kijana huyu (kulia) aliyekubuhu katika ukapera.
Msajili wa ndoa hiyo alikuwa ni Askofu Magnus Mhiche wakati Mwenyekiti wa kamati alikuwa ni Mchungaji, Titus Mkama (kulia)
I
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
du dogo naona amfunika sana..asa huyu elifadhili tumfanyeje? naona ametoa mijicho hapa anawazia na yeye atavuta kifaa lini..
ReplyDelete