Saturday, January 30, 2010

KILIMO KWANZA


Huu mkakati wa kilimo kwanza umeshika kasi kweli kweli. lakini ukipita maeneo mengi watu hawalimi, utaishia kuwa nyimbo tu.







Kilimanjaro, Wataalam wanadai eti theluji inayeyuka kila kukicha, Kilimanjaro kaeni mkao wa kula maji yatakapokauka.



No comments:

Post a Comment