Saturday, January 30, 2010
FAUSTIN NA NIPANEEMA WALIPONG'ARA
Ilikuwa ni furaha tupu pale Faustin na Nipaneema walipofunga ndoa katika kanisa katoliki la Mt. Joseph na reception kumwagwa katika ukumbi wa Mliman City jijini Dar es salaam hivi karibuni.

KILIMO KWANZA
Sijui atarudi lini?
Monday, January 4, 2010
NI YEYE!! GODLOVE NA MATILDA WALIVYOFUNIKA
Baada ya kila kitu ikawa ni furaha tu katika ukumbi wa Five Star wa Mbezi Dar es Salaam.
Ndivyo anavyosema Godlove Lwendo baada ya kufunua shela ya bibi harusi, Matilda Nkanda wakati wakifunga ndoa katika kanisa la TAG Kigogo Dar es salaam, January 3, 2010. Ilifana sana
Tayari, wanatuchelewesha tu!
Wazazi wa bwana harusi
Hapo vipi?
Vurugu tupu
Sijui nitaoa lini, anajiuliza kijana huyu (kulia) aliyekubuhu katika ukapera.
Msajili wa ndoa hiyo alikuwa ni Askofu Magnus Mhiche wakati Mwenyekiti wa kamati alikuwa ni Mchungaji, Titus Mkama (kulia)
I
Subscribe to:
Posts (Atom)