R.I.P Albet Mangwair
•28 May 2013
Kiongozi wa kundi la cowboy mkali wa freestyle ambae alikua akiimba nyimbo za aina HIP HOP amefariki dunia huko nchini South Africa siku ya jumanne na mwili wake umehifadhiwa kwenye hospitali ya st.Hellen kwajili ya mipango ya mazishi.
No comments:
Post a Comment