Thursday, February 17, 2011

USAFIRI BAADA YA MILIPUKO GONGO LA MBOTO

Hii ndiyo hali ya usafiri wa kwenda na kurudi Gongo la Mboto baada ya kutokea milipuko ya mabomu iliyosababisha mauaji ya watu 40 na wengine 300 kujeruhiwa.

No comments:

Post a Comment