Monday, February 14, 2011

KAZI NI KAZI


Kijana huyu akiwa ametandaza zana za kazi kwaajili ya kuonyesha mazingaombwe kwa wapita njia. hapo anamtoa nyoka kwenye mfuko ili kuwavutia watu. Kazi kwenu.

No comments:

Post a Comment