Sunday, October 24, 2010

DK SLAA ITV

Mengi yamesemwa kuhusu mahojiano ya Dk Slaa na ITV. Lakini mimi niliyeshuhudia mahojiano hayo, kwakweli nampongeza Dk Slaa kwa uwezo wake kujibu maswali.

Wanaosema hakusema kitu, mbona wamemkimbiza mgombea wao kwenye midahalo?

Thursday, October 14, 2010

MWAKA HUU, TANZANIA YOTE KWA YESU

Hili ni kanisa la Tanzania Assemblies of God la wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma. Niliipata picha hii nikiwa napita tu njiani sikufanikiwa kuingia ndani kutokana na muda wangu. Inatia moyo.

Wednesday, October 13, 2010

KIKUBWA PUMZI


Joshua Lwendo akimvisha pete ya uchumba Happy Sasali katika kanisa la TAG kigogo hivi karibuni. Nasikia ndoa yao itakuwa December. Hapo Joshua anaingia kwenye majukumu kama baba, kaza msuli, kikubwa pumzi tu.

CHAGUENI HIVI LEO MTATUMTUMIKIA NANI?


Hao ni CFF wakiperform siku ya sikukuu yao pale TAG Kigogo hivi karibuni

HAPA WANASAJILI WASANII WA TUSKER PRPJECT FAME