Wednesday, December 16, 2009

KAZI NI KAZI

Uzinduzi wa album lini?

Jamaa akiwa anapiga gitaa lake kwa hisia kali maeneo ya Posta mpya kati kati ya jiji la Dar es Salaam, huku akiwa ameweka bakuli lake jekundu juu ya spika ili wapita njia watoe chochote . Sijui uzinduzi wa album utakuwa lini?







Hapa trip mbili tu anajenga nyumba. Jamaa huyu alikuwa akisubiri foleni kwenye mataa pale Ubungo. Yaani mataa yalikuwa yakimcheleweshea dili zake tu.

No comments:

Post a Comment