Godlove Lwendo akimvisha pete Matilda Nkanda katika engagement party ilofanyika katika kanisa la TAG kigoo. Kushoto "mama mzaa chema" akifurahia mwanaye kupaa 'chombo'
naye Sunday Gordian hakubaki nyuma, kwani aliamua kumchukua Neema Dabaga Jumla jumla. Hapo anamlisha keki.
Ilikuwa shamrashamra za kukata na na shoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee, pale kundi la Upendo (kushoto) lilipokuwa likitimiza umri wamiaka 10 katika nyimbo za Injili.
Huyu ni Upendo Nkone akiimba ule wimbo wake wa 'Mungu baba"
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia , Samuel Sitta akizindua album yao
Jamaa akiwa anapiga gitaa lake kwa hisia kali maeneo ya Posta mpya kati kati ya jiji la Dar es Salaam, huku akiwa ameweka bakuli lake jekundu juu ya spika ili wapita njia watoe chochote . Sijui uzinduzi wa album utakuwa lini?
Hapa trip mbili tu anajenga nyumba. Jamaa huyu alikuwa akisubiri foleni kwenye mataa pale Ubungo. Yaani mataa yalikuwa yakimcheleweshea dili zake tu.