Christmas na boxing day ilivyosherehekewa na 'B' Family katika beach ya Baracuda Kigamboni jijini Dar es Salaam. Hapo Abel akitoa mahubiri.
Kama kawaida, michezo ya kuvuta kamba kwa wanaume, wanawake na wanaume ilikuwepo
Waimbaji wa Messengers walikuwepo kupamba
No comments:
Post a Comment