Sunday, March 13, 2011

MEDIA DAY

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam wakilisakata Twanga viwanja vya Cine Club Mikocheni kwenye Media day.

Wanamuziki wa Twanga wakiwa kazini.

No comments:

Post a Comment