Monday, May 17, 2010

KABORA ANG'ARA


Mchungaji Elisa Kabora akimvisha pete ya uchumba Naomi katika kanisa la TAG Kigogo mjini Dar es Salaam hivi karibuni.

MJOMBA


Camera yetu ilimnasa Mrisho Mpoto akisherehesha siku ya Meimosi.

MAMBO YA ARUSHA

Wale waliokuwa wakisema kuwa "Utamaliza kuni kwa kuchemsha mawe" wamechemsha. Soma hii........ (Mawe yameiva, kuni zimebaki)
















Huyu mwendesha mkokoteni au bepari?


Hapo ndiyo Arusha
Huu mnara sasa umeshapoteza maana yake kwani wakazi wa Arusha sasa wanautumia kupigia picha za video, hawakumbuki tena lile Azimio la Arusha.