Thursday, February 11, 2010

KWANI LAZIMA SANA KUJADILI RICHMOND?

Yamejiri Bungeni hivi karibuni!


EL: "Sasa ndugu yangu PM, kwani ni lazima ku-discuss tena mambo ya Richi? Si waambieni tu kwamba tushasovu kiaina?.

PM: "Ndugu yangu mi naona haina haja ya kuhofu, we kaa pale usikilize tutakalowaambia, don't worry about it".

1 comment:

  1. Wezi hao. Unatusahau sana bwana sisi wadau wa blog yako. kila ukifungua unakuta toyota. mwe!

    ReplyDelete