Tuesday, September 28, 2010

MAMBO YA NAIROBI


ELIFADHILI NA CATHERINE WANG'ARA


Ilikuwa heka heka nguo kuchanika pale Elifadhili na Catherine walipofunga ndoa katika kanisa la TAG Kigogo na tafrija ya kukata na shoka iliyofanyika katika ukumbi wa CASSA Mikocheni Dar es Salaam.











Monday, September 20, 2010

BARAKA YA MTOTO

Namshukuru Mungu kwa kutupatia mtoto wa kiume wa pili. Jina lake ataitwa Solomon.
Pichani Solomon akiwa amebebwa na kaka yake, Gibson.

MUZIKI WA CUF MIKOA YA KUSINI

Picha hizi zinaonyesha wafuasi wa Chama cha wananchi CUF wakifurahia mikutano ya mgombea urais wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.










Meno 32 nje