Wednesday, March 31, 2010

MLINZI YUKO KAZINI

Mlinzi ambaye hakufahamika jina lake mara mora akiuchapa usingizi katika lindo lake kama alivyokutwa ndano ya Chuo Kikuu huria (OUT) Dar es Salaam.

Friday, March 5, 2010

MASIKINI HASHIM!!

Juzi juzi tu alikuja Bongo kuwaringishia kipaji chake, bo kurudi Marekani, wamemtema kwenye ligi kuu ya NBA. Sijui Wabongo walimfanyizia?!

CCJ ILIPOZINDULIWA

Mwenyekiti wa Chama cha Jamii, Richard Kiyabo (Kulia) na katibu wa chama hicho, Muabhi wakionyesha cheti cha muda walichokabidhiwa na msajili wa vyama vya siasa jiji Dar es Salaam hivi karibuni.

Baada ya hapo wakambeba