HI WAPENDWA! GARI YA SHUGHULI! GARI YA SHUGHULI!GARI YA SHUGHULI HII HAPA; (SEE ATTACHMENT), NI GARI YA KISASA KABISA YENYE MBWEDO (CONRFOTABLENESS) WA HALI YA JUU, TUNABEBA MAHARUSI,SEND OFF PARTIES, KITCHEN PARTIES, KOMUNIO, UBATIZO NA VIPAIMARA. GHARAMA ZETU NI ZA CHINI MNO,HUTASHINDWA KUZIMUDU, TUNAJALI MUDA NA UNYETI WA SHUGHULI YAKO, TUPO ILI KUWEZESHA SHUGHULI YAKO, WALIOWAHI KUITUMIA HAWAJAJUTA! WASILIANA NASI KWA NAMBARI ZA SIMU HIZI; 0784 587 905 AU 0655 587 905 AU 0784 494 906 AU 0718 817 706 AU 0754 897 287 KARIBUNI NYOOTE ELIFADHILI S. MSUYA
Thursday, September 10, 2009
Kikwete mshikaji kweli!
Mtindo mpya aliouanzisha Rais Kikwete wa kuzungumza na wanananchi kupitia vyombo vya habari ambapo sasa wananchi wana fursa ya kupiga simu, kutuma sms na hata e mail, umeonyesha jinsi ambavyo Rais Kikwete yuko karibu na wananchi kinoma.
Rais Kikwete alisema kwamba amegundua kwamba hata hotuba anazozitoa anapokuwa ziarani huwa haziendani kabisa na matakwa ya wananchi, kwahiyo ni bora tu awape nafasi waulize wanachotaka. Tena Kikwete anataka hata wananchi wawe wanakwenda ikulu wanapokuwa na shida,
"Wakati mwingine ninapokuwa Ikulu huwa nawauliza wasaidizi wangu, hivi hakuna wananchi wenye matatizo wanaokuja hapa Ikulu?" aliuliza Rais Kikwete.
Kufuatia hali hiyo Rais Kikwete amepanga kuwa anakutana na wananchi wenye matatizo nje ya Ikulu kama alivyokuw akifanya Mzee ruksa enzi zile.

Monday, September 7, 2009
Friday, September 4, 2009
Chadema Hooray!
Mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe akipongezwa na wanachama wa chama hicho baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho.

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Freeman Mbowe amefanikiwa kutetea nafasi hiyo kwa mara ya pili baada ya kupata ushindi wakura za ndiyo kwa ailimia 92.9 kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu uliofanyika jana katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo, msimamizi wa uchaguzi huo, ambaye pia ni mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Bob Makani alisema kwamba, kura za hapana kwa nafasi hiyo zilikuwa 22 sawa na asilimia 4.8 wakati kura za ndiyo zilikuwa 425 sawa na asilimia 92.9 na kuongeza kuwa kura zilizoharibika ni 10 sawa na asilimia 2.1.
Baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, ukumbi ulilipuka kwa shangwe na furaha huku baadhi ya wajumbe wakimvamia Mbowe na kumbeba juu juu mpaka katika meza kuu.

Tuesday, September 1, 2009
Sikukuu ya kwaya TAG Kigogo
Subscribe to:
Comments (Atom)